Posts

Showing posts from October, 2013

UNAFAHAMU NINI KUHUSU ULAJI WA MWANADAMU?

Mengi ya magonjwa yanayoonekana kila mahali leo husababishwa na ulaji mbaya kwa kuzingatia maelezo ya fuatayo mtu anaweza kuepuka magonjwa mengi. 1:kulamatunda kwa wingi na mboga za majani na zenye muonjo mzuri. 2:badili chakula chako mlo hadi mlo lakini usile aina nyingi sana ktk mlo mmoja 3:tumia nafaka ambazo hazijakobolewa na mchele usioshwe sana pia tumia nafaka ambazo hazijakobolewa. 4:sukari na chumvi vitumiwe kwa kiwango kidogo sana,pia epuka viungo vya kukolezwa chakula na dawa ya kuumulia 5:uwe na muda maalum wa milo kila siku 6:usile chochote katikati ya milo 7:kula kiamsha kinywa na chakutosha 8:kula kila unachohitaji kustawisha afya na furahia chakula chako 9:kula taratibu na kutafuna chakula vizuri huleta faida kubwa kwa mlaji 10:kunywa maji safi na salama ya kutosha kila siku lakini usinywe wakati wa mlo mapema kabla ama baada ya mlo. NB:Kufunga ni msaada ktk kudhibiti tamaa ya chakula zoezi la kuwa na kiasi maishani kufunga ni dawa bora kwa magon

JE UNAFAHAMU KUWA KISUKARI UNAWEZA KUPUNGUZA KASI YA MWILINI KWA KUTUMI VITU VIFUATAVYO?

DAWA YA KISUKARI >Star of jerusalum-tafuna maua 3 kila siku. >tiba ya malimao 120 kwa watu wazima >parachichi tunda lake >maharagwe ya soya maziwa yake >tui la nazi >epuka vyakula vyenye rukari >usile nyama >punguza matumizi ya mayai na maziwa >kunywa juice ya karoti kila siku >tumia aloe vela >star of jerusalem mizizi yake ichemshwe inywe kwa muda wa siku 10 kikombe 1x3 kwa siku

JE UNAFAHAMU VITUNGUU MAJI HUTIBU MAGONJWA ZAIDI YA MATANO?

Vitungu maji kama ilivyokuwa na umuhimu ktk matumizi ya kawaida kwa mapishi ya nyumbani watafiti wengi wamekifanyia utafiti na kugundua kuwa kinatibu magonjwa mengi ktk mwili wa mwanadamu,kitunguu maji kinaweza kutibu magonjwa ya fuatayo: *uvimbe wowote ktk mwili * kikohozi *vidonda vya tumbo *mifupa *koo *figo *tumbo *mkojo MATAYARISHO Menya vitunguu 3 vikubwa,visage au vitwange ili upate maji yake,changanya na maji kidogo yaliochemka.Chukua punje 3 za kitunguu swaumu,mwaga maji ya vitunguu maji juu yake acha mchanganyiko ndani ya bilauri masaa 2 ongeza vijiko vikubwa 5 vya asali. tumia kijiko kikubwa kimoja mara tatu kwa siku

UJERUMANI YAGHADHIBISHWA

Bonn.kansela wa ujerumani,angela merkel ametaka kupewa maelezo kutoka kwa rais wa marekani barack obama baada ya kupokea taarifa kuwa mawasiliano yake ya simu ya mkononi huenda yalinaswa na shirika la usalama wa kitaifa la marekani(NSA) Merkel alimpigia simu obama jana na msemaji wake kupitia taarifa yenye maneno mazito alisema iwapo udukuzi huo ulifanyika basi ni jambo lisilo kubalika kamwe ikulu ya rais imesema obama amemhakikishia merkel kuwa mashirika yake ya kijasusi hayakuchunguza.

CCM MSIPITISHE WASIO WAADILIFU-MAKAMBA

Naibu waziri wa mawasiliano na sayansi na technolojia january makamba ameonya viongozi na watendaji wa ccm nchini kuto wapitisha wagombea wasio waadilifu katika chaguzi zijazo kwa sababu itapunguza idadi ya kura huku akiwasisitiza kualia matakwa ya kundi kubwa la wapiga kura ambalo ni vijana Makamba ambaye pia ni mjumbe wa halmashaurh kuu ya taifa ya chama hicho aliyasema hayo jana wakati akiwasilisha mada katika mafunzo ya viongozi na watendaji wa ccm nchini (makatibu wa wilaya na mkoa) Kwa mujibu wa chanzo kutoka ndani ya kikao hicho kilisema makamba alisfma pamoja na kutekeleza ilani ya uchaguzi kwa asilimia 100 ama kuwa na ilani nzuri ya uchaguzi bila kuwa na mgombea mwadilifu chama chetu hakiwezi kufanya vizuri ktk chaguzi hizo zijazo Chanzo hicho kimesema ,makamba ameshauri kufumuliwa kwa sekretarieti ya ajira ya tamisemi na kuingizwa watendaji wenye machungu na chama.pia alitaka ajira ndani ya chama hicho zianzie kwa watu wenye elimu ya shahada moja na kuendelea.

NCHI TANO NDIZO WATU WAKE WANAOISHI MAISHA BORA

Wananchi wa nchi tano tu africa ikiwemo algeria,libya,tunisia,shelisheli na mauritius ndiyo wanaishi maisha mazuri au kwa lugha nyingine ya kiwango cha juu kundi0kubwa lililobaki la nchi 36 linaishi ktk kiwango cha chini huku nchi 10 zikiwa kwenye kiwango cha kati cha maendeleo ya watu wake.hii ni kwa mujibu wa ripoti ya hali ya uchumi barani africa ya mwaka 2013 iliyohusisha nchi 51. Nchi 10 ambazo watuwake wana kiwango cha kati cha maisha ni botswana,capeverde,misri,equatorial guinea na gabon.nyingine ni ghana,morocco,namibia,africa kusini na swaziland. Kwa mujibu wa ripoti ya taasisi ya hali ya kiuchumi barani afrika(africa economics outlook(AEO)nchi zote tano za jumuiya ya afrika mashariki (EAC)zipo ktk kundi la watu wanaoishi maisha ya kiwango cha chini. taasisi hiyo imefanya utafiti wake kwa kuzigawanya nchi za afrika ktk kanda tano afrika ya kati kaskazini kusin magharibi na mashariki.

soma na hilo hapo chin

View web version Tuesday, May 21, 2013 sikia hii › Mm ni kijana nina demu mmoja wa kichaga na ameumbika kiukweli ila tatizo ni kila tuki sex ananiambia tumsalimie jirani maana ni nifanye nay... Tuesday, April 2, 2013 4 comments: boys mlio single kazi kwenu › hellow am a tanzanian girl 23 years of age, i am looking for a man to marry because every time when i get a boy they cheat on me.so i ... Saturday, February 23, 2013 kutoa ni moyo wapendwa. › Habari mzma mm naitwa samiya juma naishi arusha nina cancer ya matiti natakiwa niende india nikat... Friday, February 22, 2013 1 comment: Je nifanyaje? › pliese hide my name. Am 24 yrs now. Nimemaliza college moja hapa dar last year. nilikua na mwana... Friday, February 1, 2013 1 comment: GUNDUA SIRI YA JINA LAKO SASA › Je Siri ya herufi ya mwanzo ya jina lako?. Soma hapa utaweza kuelewa Tabia zako au tabia za rafiki au mpenzi wako. HERUFI A Mwenye Jin... Sunday, January 13, 2013 Wadada wa tanzania mpooo? › I need Tanzanian lady.txt me +26588

CCM,Chadema,CUF na NCCR-Mageuzi wakubaliana serekali kupeleka mabore ya sheria bungen,Tume ya warioba yaongezewa muda

Dar es salaam.serikali inatarajia kuandaa hati ya dharula ili kuwezesha kufanyika kwa maboresho ya muswada wa sheria ya marekebisho ya mabadiliko ya katiba ambayo yatajadiliwa upya katka mkutano wa bunge unaoanza oktoba 29 mjini dodoma. Tayari vyama vya upinzani na chama tawala vimekubaliana taratibu muhimu za kufuata ili maboresho yaweze kupita ndani ya bunge.muswadahuo haukuwa umepangwa kujadiliwa ktk mkutano ujao wa bunge ndio maana itabidi iombwe hati ya dharula .Hatua hyo ni ushindi kwa vyama vitatu vya upinzani chademb,cuf,na nccr mageuzi,ambavyo vilipinga mswada huo wakati wa mkutano uliopita wa bunge sept.mwaka huu. mswada wa sheria hiyo uliopitishwa september na bunge ulisuriwa na vyama hvyo wa upinzani kwa maelezo kuwa una kasoro kwenye baadhi ya vipengele .hata hvyo wabunge wa ccm waliamua kuendelea na mjadala na kupitisha muswada huo kitendo ambacho kilisababisha mvutano mkubwa uliomfanya raisi jakaya kikwete kukutana na viongozi wa vyama vya siasa vyenye wabunge kumaliz

CCM,Chadema,CUF na NCCR-Mageuzi wakubaliana serekali kupeleka mabore ya sheria bungen,Tume ya warioba yaongezewa muda

Dar es salaam.serikali inatarajia kuandaa hati ya dharula ili kuwezesha kufanyika kwa maboresho ya muswada wa sheria ya marekebisho ya mabadiliko ya katiba ambayo yatajadiliwa upya katka mkutano wa bunge unaoanza oktoba 29 mjini dodoma. Tayari vyama vya upinzani na chama tawala vimekubaliana taratibu muhimu za kufuata ili maboresho yaweze kupita ndani ya bunge.muswadahuo haukuwa umepangwa kujadiliwa ktk mkutano ujao wa bunge ndio maana itabidi iombwe hati ya dharula .Hatua hyo ni ushindi kwa vyama vitatu vya upinzani chademb,cuf,na nccr mageuzi,ambavyo vilipinga mswada huo wakati wa mkutano uliopita wa bunge sept.mwaka huu. mswada wa sheria hiyo uliopitishwa september na bunge ulisuriwa na vyama hvyo wa upinzani kwa maelezo kuwa una kasoro kwenye baadhi ya vipengele .hata hvyo wabunge wa ccm waliamua kuendelea na mjadala na kupitisha muswada huo kitendo ambacho kilisababisha mvutano mkubwa uliomfanya raisi jakaya kikwete kukutana na viongozi wa vyama vya siasa vyenye wabunge kumaliz