Posts

Showing posts from October, 2014

mapenzi ni zaidi ya furaha duniani

Je kuna wanaofurahia mahusiano waliokuwa nayo kwa wakati Huu ungana nami ktk blog yako hiu

wananchi wa kijiji cha kidogobasi kats ya ruhembe wasota rumande kutwa nzima

Hatimaye mtendaji WA KIJIJI cha kidogobasi Kara ya ruhembe awaweka ndani baadhi ya wananchi wake ndani kwa kutokulipa michango ya ujenzi WA maabara ya should ya secondary ya ruhembe iliyopo kijijini hapo   Wananchi Zhao wamekuja katika ofisi ya mtendaji huyo ili wajiandikishe kwa ajili ya vitambulisho vya urahia lakini mtendaji huyo amegoma kuwaandikisha kwa Kuwait haeajatoa mchango WA ujenzi WA maabara