UJERUMANI YAGHADHIBISHWA

Bonn.kansela wa ujerumani,angela merkel ametaka kupewa maelezo kutoka kwa rais wa marekani barack obama baada ya kupokea taarifa kuwa mawasiliano yake ya simu ya mkononi huenda yalinaswa na shirika la usalama wa kitaifa la marekani(NSA) Merkel alimpigia simu obama jana na msemaji wake kupitia taarifa yenye maneno mazito alisema iwapo udukuzi huo ulifanyika basi ni jambo lisilo kubalika kamwe ikulu ya rais imesema obama amemhakikishia merkel kuwa mashirika yake ya kijasusi hayakuchunguza.

Comments