Posts

Showing posts from March, 2013

LOVE SMS

Image

LOVE SMS

LOVE SMS

LOVE SMS

Image

love sms

Dear unajua nakuthamin zaidi ya rushwa na posho bila wewe mm siwezi kuish ni sawa nakukosa bunduki eneo la tukio nakueheshimu kama lindo nijibu nifungue jarada moyo mwangu nakuhakishia usalama kama msafara wa rais usinifanye moyo kwenda mbio.

love sms

Dear unajua nakuthamin zaidi ya rushwa na posho bila wewe mm siwezi kuish ni sawa nakukosa bunduki eneo la tukio nakueheshimu kama lindo nijibu nifungue jarada moyo mwangu nakuhakishia usalama kama msafara wa rais usinifanye moyo kwenda mbio.
Mwanzo nilizani penzi ni kitu cha gharama kumbe sivyo penzi ni kitu cha bure unatakiwa kujitoa mwili na roho gharama yake ni zaidi ya kununua dunia. na mateso yake ni zaidi ya shetani motoni mpenzi naomba unipe penzi tufurahi daima
Mapenzi ni utoto deka ulie nikubembeleze ,mapenzi ni zawadi tabasamu ni busu niambie kiasi gani unanipenda
Kila niamkapo mawazo yangu huwa kwako na upepo uvumapo nahitaji uwepo wako na hasa nikukumbukapo nahitaji unikumbatie mpenzi nakupenda
Hakika mpenzi nimechoka kuvumilia kila siku naishia utamu kuusikilizia njozini unaponijia najiuliza lini utanivulia niachane na ndoto
Mahaba unayonipa hakika nafarijika; mpenzi niliyemtaka nimempata kuwa nawe hakika nimeukata kwani wajua kunipa bata love you mwaaa.......
Mpenzi tambua wewe ndiye sababu ya huo usingizi najilaza kwa pozi nikiamini tutakutana kwenye njozi ,njozi za kulienzi letu penzi nakupenda sana mwaaaaa>>>>
MAPENZI NI SAFARI. unifanye nauli ya moyo MAPENZI NI MARADHI unifanye daktari nikutibie maradhi yako MAPENZI NI KIU niwe maji jangwani MAPENZI NI CHAKULA nikulishe maishani mwako na uwe asali wa moyo wangu nakupenda sana mwaaa
Sipo tayari kuukabidhi moyo wangu kwa mwingine zaidi yako; wewe ni pekee maishani mwangu mwenye kujua hisia moyoni mwangu mpenzi nipende daima pendo lako nitalienzi daima
Nakunjua moyo wangu uishi milele maishani?nafungua nafsi yangu nikupende wewd pekee,nafunga milango ya moyo wangu ili kutokupokea ugeni wowote wa moyo zaidi yako mpenzi nakupenda sana

LOVE SMS

Kweli wewe ni mpishi mzuri,umairi wako unanza kwenye ukunaji nazi hadi upakuaji ,upekechapo ndizi za mtori mimi huwa hoi nakupenda mpenzi wangu mwaaaa

Thebrax: NATAFUTA MPENZI, RAFIKI, MCHUMBA, MUME, MKE!

Ni usiku tulivu wenye hali ya hewa safi na usingizi wa amani ukishika hatamu kuzisafirisha fikra zako za binadamu ktk ndoto,najua umechoka na pilikapilika za mchana,jua na makelele ya kila aina na mwingiliano wa sauti.ni muda mwafaka wakupumzika sasa

Thebrax: NATAFUTA MPENZI, RAFIKI, MCHUMBA, MUME, MKE!

Natamani kuona macho yako ukiya fumba,Natamani kusikia sauti zako za chinichini za ndoto zako za usiku,natamani kukuona ukijigeuzageuza kitandani lakini haiwezekani kwa kuwa tupo mbalimbali nakupenda dear mwaaaaaaaa

SMS ZA MAPENZI

Naamini utakuwa umerejea kwenye yako makazi na umechokana kazi badili yako mavazi,bafuni ingia upate maji kujimwagia natamani kuja kukusaidia mgongo kukusugua na chakula kukuandalia lakini wakati haujafika nakupenda sana dear

SMS ZA MAPENZI

Weupe wa pendo lako ni kama mwezi angani ucheshi na mahaba yako nifananishe na nini?kupata mfano wako haitatokea asilani

Thebrax: NATAFUTA MPENZI, RAFIKI, MCHUMBA, MUME, MKE!

Je unaweza kumpata mchumba wa kweli au rafiki wa kweli kupitia mitandao ya kijamii ?idadi kubwa ya wanao tafuta marafiki au wachumba ni wanaume tu wanawake mko wapi?jitokezeni nanyi mtafute marafiki wa kweli