Posts

Showing posts from January, 2016

HAPA KAZI TUUUUUUUUUU

Image
Sasa mambo yamepamba moto, hii ishu ya kutumbua majipu imefika mahala pake dahh. Juzi nilipata kazi ya kuwa mshenga. Rafiki yangu flani ambaye mambo ya fedha kwake si tatizo, ila tatizo ni namna ya kuzitumia fedha hizo kaniomba niwe mshenga wake. Alikuwa anataka kupeleka posa kwa binti mmoja ambaye ni kabila langu hivyo mimi nilitegemewa kuwa najua mila na taratibu za kutoa posa. Basi kama tulivyokuwa tumepangiwa na wakwe watarajiwa, juzi saa kumi jioni tukawasili kwa wakwe watarajiwa. Tulichelewa kama dakika tano si unajua foleni tena, hiyo ikawa nongwa ya kwanza. Wajomba wakatuambia turudi wiki inayofuata tukajifunze namna ya kuwahi, tukaanza kuomba msamaha na kubembeleza, baada ya faini ya shilingi alfu ishirini tukaruhusiwa kusikilizwa. Tulimkuta baba wa binti na wajomba wawili wanatusubiri, tukakaribishwa kwenye viti na kukaribishwa vinywaji. Tukaomba maji, unajua siku kama hii ukiomba bia kabla hawajapokea barua inaweza kuwa kisa cha kukataa kupokea barua, utasik

MADHARA YA KUKAA KARIBU NA HIFADHI HEBU PITIA HAPA KWA UFUPI

Image
Jamani uhifadhi ni mzuri ila pia ni mbaya sana kwa jamii zinazoishi pembezoni mwa hifadhi,jana usiku simba ameingia kwenye nyumba ya mwanakijiji sitalike karibu na hifadhi na kuuwa watu wawili(yaani baba na mtoto)amekula mtoto na kuuwa baba na kuku wote,inasikitisha wanakikundi wenzangu,na asubuhi ya leo akaanza kumbuluza baba na ndipo askari wa hifadhi walifika na kumuua simba.Picha hizo hapo chini tuseme r.I.p

MATIBABU YA MENO BILA KUNG'OA

Image
TEMBELEA BLOG HII KWA KUFAHAMU WAPI UNAWEZA KUPATA HUDUMA SAHII NA KWA WAKATI SAHII YA MATIBABU YA MENO BILA KUNG'OA(ROOT CANAL)

KUMBUKA MALEZI MAMA MZAZI

Image
SOMA HII TAFADHALI Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 16 alimuuliza mama yake: "Mama, utanifanyia nini nikifikisha umri wa miaka 18 (siku yangu ya kuzaliwa) Mama akajibu:- "mwanangu bado una unasafari ndefu". mtoto yule lifikisha umri wa miaka 17, siku moja ghafla akaanguka chini. Mama yake akambeba na kumuaisha hospitali, na daktari akasema: "Mama mwanao ana Moyo mkubwa pia limeonekana tundu katika moyo wake." Mama akiwa na mwanae pale hospitali huku mama akiwa na mawazo nini cha kufanya, mtoto akamuuliza mama yake " Mama Madaktari wamekwambia mimi ninaenda kufa?? Mama akaanza kulia.. Baada ya muda wa mwaka nzima kijana huyu akiwa amefikisha mika 18 alirudishwa nyumbani kutokana na hali yake kuwa nzuri. baada ya kufika nyumbali alikuta barua ipo kwenye kitanda, iliyokuwa imeandikwa na mama yake. Barua iliandikwa hivi: Mwanangu unasoma haya kwa sababu kila kitu kimeenda sawa mpaka sasa. kumbuka siku uliyoniambia siku ukifikisha miaka 18 n

HEBU TUVUNJE MBAVU KWA KUWA TUNA STRESS ZA MCHANA KUTWA

KUNA WIZI UMETOKEA BENKI ••••••••••••••• ••••••• Jambazi akasema "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya kwenu", wote wakalala chini (HII INAITWA DHANA ...YA USHAWISHI - kubadilisha njia ya kawaida ya kufikiria) ••••••••••••••• ••••••• Kuna dada kwa woga akawa amelala chini kimitego, Jambazi akamwambia, "dada hebu kuwa na adabu chukua kanga jifunike hili ni tukio la ujambazi na sio la ubakaji.” (HUU UNAITWA WELEDI - zingatia ulichofundishwa kufanya) ••••••••••••••• •••••••• Walipotoka kwenye wizi jambazi mdogo ambaye ana shahada ya uzamili ya biashara akamwambia mwenzake, "tuzihesabu hizi fedha.” Yule mkubwa akamcheka kwa dharau na kumjibu, "wewe mjinga sana hizo hazina haja ya kuhesabu saa mbili wata tutangazia kwenye taarifa ya habari tumeiba kiasi gani. (HUU INAITWA UJUZI - Siku hizi ujuzi ndio bora kuliko vyeti) ••••••••••••••••••••••• Baada ya majambazi kuondoka meneja akamwambia mhasibu wa bank, " ujumlis

JEEEE NI KWELI VIJANA NDIVYO WALIVYO KWENYE DUNIA YA LEO????????

TORY ZA WASICHANA KTK SIM Mary... Hallow mpenzii Lily.... Niambie my dear Mary..Pouwaa za siku jamani Lily...Nzuri rafiki Yangu wa damu Mary...Jioni nakuja kwako tule Na kunywa japo wine wanguu Lily...Nakusubiri kwa hamuu mpenziiii BAADA YA KUKATA SIMU...KILA MMOJA ANAWAZA Lily...Huyu mchawi wa kike Leo anataka kuja kwangu wala hanikuti. Mary..Hahahahaaaa Uwiiiiiiiiii huyu kahaba eti nakusubir Kwa hamuu nani aende!!! STORY ZA WAVULANA KATIKA SIMU John...Niaje we mbwaa Sam...Pouwa kichaa wanguu John..Upo wap mpumbavu wewe Sam...Niko hom, we fala Uko wap? John..Baadae nakuibukia jambaz langu tukale bata Sawa... Pouwaa we ms**nge nakusubiri BAADA YA KUKATA SIMU...KILA MMOJA ANAWAZA John...Dah baadae nikakae na mwanangu Sam sijamuona long time Sam...John bwana akiwa Na pesa lazima anitafute mwanaeee. FUNZO.. Baadhi ya Wasichana hujifanya wanapendana Kwa maneno lkn ni Kwa nje tu!! lkn WANACHUKIANA WAVULANA unaweza Kudhani hawapendani Kwa Maneno lkn WANA

HAKIKA HUKU NDIKO KUVAMIWA KWA MAANDIKO MATAKATIFU KWENYE KUTONGOZEA WANAWAKE

Jamaa: Hello mrembo, samahani, una mpenzi? Binti: Hapana. Sina mpenzi. Jamaa: Kitabu cha Mwanzo 2: 18 "Bwana Mungu akasema, Sivema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye." Binti: Lakini mimi sikupendi jamani. Jamaa: Waraka wa kwanza waYohana 4:8 "Yeye asiyependa, hakumjua Mungu, kwa maana Mungu ni upendo." Binti: Mh! Mi ntajuaje kwamba na wewe unamaanisha hayo maneno? Jamaa: Injili ya Mathayo 12:34b "Maana, kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake." Binti: Jamani leo kazi. Mi ntajuaje kwamba we ni mkweli na mwaminifu? Jamaa: Injili ya Marko 13:31"Mbingu na nchi zitapita; lakinimaneno yangu hayatapita kamwe." Binti: Wewe! Na kwanini umekuja kwangu? Wasichana mbona wako wengi tu! Jamaa: Mithali 31:29 "Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote." Binti: We una mambo wewe! Sasa mimi kwangu umependa kitu gani? Jamaa: Wimbo Ulio Bora 4:7"Mpenzi wangu, u mzuri pia pia, W

DALILI ZA PENZI AU MAHUSIANO YANAYOCHO NA KUKARIBIA KUACHANA

DALILI ZA KUCHOKWA NA MPENZI WAKO: 1. Hupigiwi simu hadi umpigie, 2. Hutumiwi sms hadi umtumie. 3. Usipomtafuta halalamiki wala hakuulizi. 4. Ukimpigia simu anakwambia yupo bize. 5. Ukimpigia simu usiku anakwambia anataka kulala au simu haina chaji, lakini ukikaa kidogo ukipiga tena unakuta inatumika. Mwanaume au mwanamke mwenye tabia hizi hafai kuwa mpenzi wako mkimbie kama ukoma... Kwa hiyo mwaka 2016 uwe ni mwaka wenye malengo mitazamo mipya na kufanikisha utakayo hakikisha unajipenda kwanza mwenyewe kuliko akupendavyo mtu mwingine. Fanya kazi kwa bidii kama uko shule soma kwa bidii ukiwa na malengo, Be smart, vaa upendeze nukia vizuri then enjoy your life. Kumbuka kuwa wanaume au wanawake wapo wengi sana so asikupasue kichwa mtu kama huyo. We bado mdogo mrembo mno kama huamini nenda kwenye kioo jitizame kisha tabasam anza maisha mapya, kama ni mkaka lazima utakuwa mtanashati na mwenye malengo yupo aliezaliwa kwa ajili yako ipo siku mtakutana na utakuwa m

UKWELI KUHUSUI MAISHA YA MWANADAMU MWENYE MALENGO YA KUFANIKIWA

Manufred S Sangana This Relationship isnt working'HELP A small truth to make our Life 100%successful . . If A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z . . Is equal to 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 . . Then H+A+R+D+W+O+R+K ¬ = 8+1+18+4+23+15+ ¬18+11 = 98% . . K+N+O+W+L+E+D+G ¬+E = 11+14+15+23+12+ ¬5+4+7+5 = 96% . . L+O+V+E= 12+15+22+5= 54% . . L+U+C+K = 12+21+3+11 = 47% . . None of them makes 100% . . Then what makes 100% ??? . . Is it Money? NO !!! . . Leadership? NO !!! . . Every problem has a solution, only if we perhaps change our "ATTITUDE". . . It is OUR ATTITUDE towards Life and Work that makes OUR Life 100% Successful.. A+T+T+I+T+U+D+E ¬ = 1+20+20+9+20+21 ¬+4+5 = 100%.

MAMBO KUMI YANAYOWABOA WANAWAKE WAKATI WA TENDO LA NDOA

Mambo kumi yanayowaboa wanawake kitandani Kama unayatumia ujue hujui kut...a na utasaidiwa tu ama la badilika 1.Kumwingilia mwanamke bila romance- kosa kubwa sana kwani ili mwanamke asikie raha na akupe manjonjo muandae kisikologia usipofanya hivyo basi jiandae kumuona gogo sababu atakuwa ana mawazo kibao na ny..e hazijapanda na matokeo Yake atakuwa dry 2.Kumuuliza mwanamke Kama      anasikia raha 😤😤😤- mwanamme anaejua kazi Yake anauwezo wa kutambua kwa kuangalia na kusikiliza sauti na mihemo ya mwanamke na kujua Kama ana enjoy au anasubiriwa amalize aondoke wacheni maswali ya kijinga fanyeni kazi 3.Kumuuliza mwanamke Kama amekojoa 😳really !! Guys be serious ,hujui Kama Demu kakojoa?????!!!!👿👿 kuweni serious sio hujui kazi yako uko butu na bado una jeuri kuwa mpole  jifunze check hata you tube basi mnaboaaa 4.Kumuuliza mwanamke amekojoa bao ngapi khaaa😡we unato... tu hujui mwenzio vipi wacheni uselfish jifunze kufanya kwa ajili ya kumridhisha mwenzio nae hivohivo ama la

HERI YA KRISMAS NA SIKUKUU YA MWAKA MPYA2016

Ndu wapenzi na watembeleaji wa blog hii nawapongeza kwa namna moja au nyingine kwa kusherekea sikukuu zote za mwisho wa mwaka mungu awabariki na aendelee kuwaongoza tena kwa mwaka huu mpya tena asiwaache njiani kila mmoja afanikiwe kulingana na maitaji yakealiyo jipangia kwa mwaka huuu asanteni sana endelea kupitia blog hii kwa habari motomoto