CCM,Chadema,CUF na NCCR-Mageuzi wakubaliana serekali kupeleka mabore ya sheria bungen,Tume ya warioba yaongezewa muda

Dar es salaam.serikali inatarajia kuandaa hati ya dharula ili kuwezesha kufanyika kwa maboresho ya muswada wa sheria ya marekebisho ya mabadiliko ya katiba ambayo yatajadiliwa upya katka mkutano wa bunge unaoanza oktoba 29 mjini dodoma. Tayari vyama vya upinzani na chama tawala vimekubaliana taratibu muhimu za kufuata ili maboresho yaweze kupita ndani ya bunge.muswadahuo haukuwa umepangwa kujadiliwa ktk mkutano ujao wa bunge ndio maana itabidi iombwe hati ya dharula .Hatua hyo ni ushindi kwa vyama vitatu vya upinzani chademb,cuf,na nccr mageuzi,ambavyo vilipinga mswada huo wakati wa mkutano uliopita wa bunge sept.mwaka huu. mswada wa sheria hiyo uliopitishwa september na bunge ulisuriwa na vyama hvyo wa upinzani kwa maelezo kuwa una kasoro kwenye baadhi ya vipengele .hata hvyo wabunge wa ccm waliamua kuendelea na mjadala na kupitisha muswada huo kitendo ambacho kilisababisha mvutano mkubwa uliomfanya raisi jakaya kikwete kukutana na viongozi wa vyama vya siasa vyenye wabunge kumaliza tofauti zao.

Comments