Posts

Showing posts from November, 2013

: KIKONGWE ALIVYOUAWA NA KUCHUNWA NGOZI MOROGORO

FULL HABARI BLOG: KIKONGWE ALIVYOUAWA NA KUCHUNWA NGOZI MOROGORO

haya ndiyo makosa ya tundulissu: mwanasheria wa zitto afunguka

FULL HABARI BLOG: haya ndiyo makosa ya tundulissu: mwanasheria wa zitto afunguka

ANATAFUTWA, POPOTE PALE ALIPO , JESHI LASEMA KWA GHALAMA YEYEOTE LAZIMA APATIKANE , LASEMA NDIYE MWENYE UFUNGUO WA KESI YA MVUNGI

FULL HABARI BLOG: ANATAFUTWA, POPOTE PALE ALIPO , JESHI LASEMA KWA GHALAMA YEYEOTE LAZIMA APATIKANE , LASEMA NDIYE MWENYE UFUNGUO WA KESI YA MVUNGI

hukumu ya babu seya hii hap, sasa maisha yake yote jela

FULL HABARI BLOG: hukumu ya babu seya hii hap, sasa maisha yake yote jela

MAJANGA YAIBUKA CHADEMA

FULL HABARI BLOG: UKWELI ULIOJIFICHA KUHUSU KUVULIWA UONGOZI BW. ZITO KABWE, HALI YA KISIASA NDANI YA CHADEMA SI SHWARI..

HATIMAYE WANANCHI WA RUAHA-KILOSA WARUDI KWENYE FURAHA YAO BAADA YA MGOMBEA WAO KWA TIKETI YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO(CHADEMA)MH.MALIWA.

Baada ya aliyekuwa mgombea wa uwenyekiti wa kijiji cha ruaha kupitia CHADEMA ndugu maliwa kutoka rumande aliko kuwa amewekwa kwa muda wa mwaka mmoja kwa tuhuma za uchoze leo amekuwa huru nje na amerejea kuungana na wananchi wake pamoja na familia kwa ujumla mh.maliwa amekuwa kipenzi cha watu tena mpenda mendeleo ktk kijiji chake na amekuwa mstari wa mbele kutetea haki za wananchi wake. maliwa baada ya kutoka rumande amepokewa kwa mandamano ya aman yaliyoanzia mikumi yakiongozwa na waendesha pikipiki,maliwa amepokewa kwa shangwe na shamlashala ambapo imeleta hofu kwa viongozi wa serikali pamoja na jeshi la polisi ambapo amepewa heshima kubwa sawa na kiongozi wa juu wa serikali jambo ambalo limeleta mshangao kwa watu wengi wanaozunguka maeneo jirani ya kijiji hicho. sherehe hizo za kumpokea kada huyo wa chadema zimeanza 4:asuhu ambazo zitahitimishwa kwa bwana maliwa kuhutubia mkutano wa hazara ili kuongea na wapiga kura wake wanao kitakia mema chama cha CHADEMA

CHADEMA YAWA NA FURAHA BAADA YA MH.MALIWA KUTOKA RUMANDE AMBAKO AMEKAA KWA KIPINDI CHA MWAKA MMOJA

Kile kilichokuwa kinasubiliwa kwa hamu kubwa na wananchi wa kijiji cha ruaha wilayani kilosa morogoro kimetimia baada ya mgombea wa uwenyekiti wa kijiji hicho kurudi kutoka rumande ambako amekaa ndani kwa kipindi cha mwaka mmoja. mh.maliwa ambaye ndiye alikuwa mgombea wa kiti hicho alikamatwa na wenzake wa wili na kuwekwa rumande amekaa ndani kwa kipindi cha mwaka mzima Mh. Maliwa na wenzake walikamatwa wakituhumiwa kwa makosa ya uchochezi wa kisiasa ambayo ilisababisha maandamano mara kazaa ktk kijiji hicho na hatima yake kijiji kukosa uongozi mara kazaa Mh. maliwa ndiye kipenzi cha watu kulingana na kauli na kusema kweli kwa wananchi ndiye aliyeweza kuibua uozo mwingi ambao ulikuwa ukifichwa na chama tawala ambacho kilikuwa madarakani kabla ya ofisi hiyo kufungwa na wananchi wa kijiji pamoja na maliwa kwekwa ndani kwa muda mrefu lakini bado haikuweza kupatika sababu kwa nini amekaa ndani kwa muda mrefu bila ya kufunguliwa mashtaka hatimaye maliwa na wenzake wako nje sasa HONGER