NCHI TANO NDIZO WATU WAKE WANAOISHI MAISHA BORA

Wananchi wa nchi tano tu africa ikiwemo algeria,libya,tunisia,shelisheli na mauritius ndiyo wanaishi maisha mazuri au kwa lugha nyingine ya kiwango cha juu kundi0kubwa lililobaki la nchi 36 linaishi ktk kiwango cha chini huku nchi 10 zikiwa kwenye kiwango cha kati cha maendeleo ya watu wake.hii ni kwa mujibu wa ripoti ya hali ya uchumi barani africa ya mwaka 2013 iliyohusisha nchi 51. Nchi 10 ambazo watuwake wana kiwango cha kati cha maisha ni botswana,capeverde,misri,equatorial guinea na gabon.nyingine ni ghana,morocco,namibia,africa kusini na swaziland. Kwa mujibu wa ripoti ya taasisi ya hali ya kiuchumi barani afrika(africa economics outlook(AEO)nchi zote tano za jumuiya ya afrika mashariki (EAC)zipo ktk kundi la watu wanaoishi maisha ya kiwango cha chini. taasisi hiyo imefanya utafiti wake kwa kuzigawanya nchi za afrika ktk kanda tano afrika ya kati kaskazini kusin magharibi na mashariki.

Comments