Posts

Showing posts from October, 2019

HUDUMA ZA STATIONARY

Image
Huduma zinatolewa siku zote za wiki. Tuanatoa huduma mbalimbali zinazohusiana na stationery vilevile tunatoa huduma za internet yenye kasi zaidi na yenye bei nafuu. katika huduma tunawaandishi mahiri na wenye uzoefu na kazi za kuchapa na kufanya unakirishi wa kazi mbalimbali.  Pia tunapokea kazi mbalimbali kutoka mashuleni na vyuoni kwa bei nafuu kwa kufanya mazungumzo baina ya mteja na ofisi. Tunawakaribisha sana na wafanya kazi wetu ni wasikivu na weledi wa hali ya juu katika kazi zao.  

HUDUMA ZA UFUNDI UMEME

KWA WEWE ULIOPO KISAWASAWA KAMA UNA TATIZO UMEME TUPIGIE KWA NAMBA 0768781160