CCM MSIPITISHE WASIO WAADILIFU-MAKAMBA

Naibu waziri wa mawasiliano na sayansi na technolojia january makamba ameonya viongozi na watendaji wa ccm nchini kuto wapitisha wagombea wasio waadilifu katika chaguzi zijazo kwa sababu itapunguza idadi ya kura huku akiwasisitiza kualia matakwa ya kundi kubwa la wapiga kura ambalo ni vijana Makamba ambaye pia ni mjumbe wa halmashaurh kuu ya taifa ya chama hicho aliyasema hayo jana wakati akiwasilisha mada katika mafunzo ya viongozi na watendaji wa ccm nchini (makatibu wa wilaya na mkoa) Kwa mujibu wa chanzo kutoka ndani ya kikao hicho kilisema makamba alisfma pamoja na kutekeleza ilani ya uchaguzi kwa asilimia 100 ama kuwa na ilani nzuri ya uchaguzi bila kuwa na mgombea mwadilifu chama chetu hakiwezi kufanya vizuri ktk chaguzi hizo zijazo Chanzo hicho kimesema ,makamba ameshauri kufumuliwa kwa sekretarieti ya ajira ya tamisemi na kuingizwa watendaji wenye machungu na chama.pia alitaka ajira ndani ya chama hicho zianzie kwa watu wenye elimu ya shahada moja na kuendelea.

Comments