UNAFAHAMU NINI KUHUSU ULAJI WA MWANADAMU?

Mengi ya magonjwa yanayoonekana kila mahali leo husababishwa na ulaji mbaya kwa kuzingatia maelezo ya fuatayo mtu anaweza kuepuka magonjwa mengi. 1:kulamatunda kwa wingi na mboga za majani na zenye muonjo mzuri. 2:badili chakula chako mlo hadi mlo lakini usile aina nyingi sana ktk mlo mmoja 3:tumia nafaka ambazo hazijakobolewa na mchele usioshwe sana pia tumia nafaka ambazo hazijakobolewa. 4:sukari na chumvi vitumiwe kwa kiwango kidogo sana,pia epuka viungo vya kukolezwa chakula na dawa ya kuumulia 5:uwe na muda maalum wa milo kila siku 6:usile chochote katikati ya milo 7:kula kiamsha kinywa na chakutosha 8:kula kila unachohitaji kustawisha afya na furahia chakula chako 9:kula taratibu na kutafuna chakula vizuri huleta faida kubwa kwa mlaji 10:kunywa maji safi na salama ya kutosha kila siku lakini usinywe wakati wa mlo mapema kabla ama baada ya mlo. NB:Kufunga ni msaada ktk kudhibiti tamaa ya chakula zoezi la kuwa na kiasi maishani kufunga ni dawa bora kwa magonjwa mengi.

Comments