JE UNAFAHAMU VITUNGUU MAJI HUTIBU MAGONJWA ZAIDI YA MATANO?

Vitungu maji kama ilivyokuwa na umuhimu ktk matumizi ya kawaida kwa mapishi ya nyumbani watafiti wengi wamekifanyia utafiti na kugundua kuwa kinatibu magonjwa mengi ktk mwili wa mwanadamu,kitunguu maji kinaweza kutibu magonjwa ya fuatayo: *uvimbe wowote ktk mwili * kikohozi *vidonda vya tumbo *mifupa *koo *figo *tumbo *mkojo MATAYARISHO Menya vitunguu 3 vikubwa,visage au vitwange ili upate maji yake,changanya na maji kidogo yaliochemka.Chukua punje 3 za kitunguu swaumu,mwaga maji ya vitunguu maji juu yake acha mchanganyiko ndani ya bilauri masaa 2 ongeza vijiko vikubwa 5 vya asali. tumia kijiko kikubwa kimoja mara tatu kwa siku

Comments