MADHARA YA KUKAA KARIBU NA HIFADHI HEBU PITIA HAPA KWA UFUPI

Jamani uhifadhi ni mzuri ila pia ni mbaya sana kwa jamii
zinazoishi pembezoni mwa hifadhi,jana usiku simba ameingia
kwenye nyumba ya mwanakijiji sitalike karibu na hifadhi na
kuuwa watu wawili(yaani baba na mtoto)amekula mtoto na
kuuwa baba na kuku wote,inasikitisha wanakikundi
wenzangu,na asubuhi ya leo akaanza kumbuluza baba na
ndipo askari wa hifadhi walifika na kumuua simba.Picha hizo
hapo chini tuseme r.I.p

Comments