KUMBUKA MALEZI MAMA MZAZI

SOMA HII TAFADHALI
Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 16 alimuuliza mama
yake: "Mama, utanifanyia nini nikifikisha umri wa miaka 18
(siku yangu ya kuzaliwa)
Mama akajibu:- "mwanangu bado una unasafari ndefu". mtoto
yule lifikisha umri wa miaka 17, siku moja ghafla akaanguka
chini.
Mama yake akambeba na kumuaisha hospitali, na daktari
akasema: "Mama mwanao ana Moyo mkubwa pia limeonekana
tundu katika moyo wake."
Mama akiwa na mwanae pale hospitali huku mama akiwa na
mawazo nini cha kufanya, mtoto akamuuliza mama yake "
Mama Madaktari wamekwambia mimi ninaenda kufa?? Mama
akaanza kulia..
Baada ya muda wa mwaka nzima kijana huyu akiwa
amefikisha mika 18 alirudishwa nyumbani kutokana na hali
yake kuwa nzuri. baada ya kufika nyumbali alikuta barua ipo
kwenye kitanda, iliyokuwa imeandikwa na mama yake.
Barua iliandikwa hivi: Mwanangu unasoma haya kwa sababu
kila kitu kimeenda sawa mpaka sasa. kumbuka siku
uliyoniambia siku ukifikisha miaka 18 nitakupa nini na
hukufahamu kwanini sikukupa jibu. "Nimekupa moyo wangu
take care of it and happy Birthday Son" alimalimaza kwa
maneno hayo ya kingereza.
Mama alikufa kwasababu ya ili mwanae apone alitakiwa kutoa
moyo wake awekewe mwanae.
Kama unaamini Hakuna kama "MAMA" hapa duniani
Andika Nakupenda "MAMA" na kama unamjali mama yako
Unaweza SHARE, Iwafikie watu wengi zaidi. Ahsante

Comments