HATIMAYE WANANCHI WA RUAHA-KILOSA WARUDI KWENYE FURAHA YAO BAADA YA MGOMBEA WAO KWA TIKETI YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO(CHADEMA)MH.MALIWA.

Baada ya aliyekuwa mgombea wa uwenyekiti wa kijiji cha ruaha kupitia CHADEMA ndugu maliwa kutoka rumande aliko kuwa amewekwa kwa muda wa mwaka mmoja kwa tuhuma za uchoze leo amekuwa huru nje na amerejea kuungana na wananchi wake pamoja na familia kwa ujumla mh.maliwa amekuwa kipenzi cha watu tena mpenda mendeleo ktk kijiji chake na amekuwa mstari wa mbele kutetea haki za wananchi wake. maliwa baada ya kutoka rumande amepokewa kwa mandamano ya aman yaliyoanzia mikumi yakiongozwa na waendesha pikipiki,maliwa amepokewa kwa shangwe na shamlashala ambapo imeleta hofu kwa viongozi wa serikali pamoja na jeshi la polisi ambapo amepewa heshima kubwa sawa na kiongozi wa juu wa serikali jambo ambalo limeleta mshangao kwa watu wengi wanaozunguka maeneo jirani ya kijiji hicho. sherehe hizo za kumpokea kada huyo wa chadema zimeanza 4:asuhu ambazo zitahitimishwa kwa bwana maliwa kuhutubia mkutano wa hazara ili kuongea na wapiga kura wake wanao kitakia mema chama cha CHADEMA

Comments