MAPENZI NI SAFARI.
unifanye nauli ya moyo
MAPENZI NI MARADHI
unifanye daktari nikutibie maradhi yako
MAPENZI NI KIU
niwe maji jangwani
MAPENZI NI CHAKULA
nikulishe maishani mwako na uwe asali wa moyo wangu nakupenda sana mwaaa

Comments