love sms

Dear
unajua nakuthamin zaidi ya rushwa na posho bila wewe mm siwezi kuish ni sawa nakukosa bunduki eneo la tukio nakueheshimu kama lindo nijibu nifungue jarada moyo mwangu nakuhakishia usalama kama msafara wa rais usinifanye moyo kwenda mbio.

Comments