wananchi wa kijiji cha kidogobasi kats ya ruhembe wasota rumande kutwa nzima

Hatimaye mtendaji WA KIJIJI cha kidogobasi Kara ya ruhembe awaweka ndani baadhi ya wananchi wake ndani kwa kutokulipa michango ya ujenzi WA maabara ya should ya secondary ya ruhembe iliyopo kijijini hapo
  Wananchi Zhao wamekuja katika ofisi ya mtendaji huyo ili wajiandikishe kwa ajili ya vitambulisho vya urahia lakini mtendaji huyo amegoma kuwaandikisha kwa Kuwait haeajatoa mchango WA ujenzi WA maabara

Comments