Pamoja na mafunzo kwa watoa dawa wa maduka ya dawa binafsi katika kuibua wagonjwa wa kifua kikuu na ukoma bado ugonjwa huo unashika nafasi ya tatu baada ya malaria na UKIMWI kwa kusababisha vifo kwa watu wazima hapa nchini takwimu zinaonyesha hivyo.

Comments